Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuandika habari zenye kuibua changamoto zinazo walenga wanawake katika jamii - Mazingira FM

Mazingira Fm Live

Breaking News

Sunday 11 February 2018

Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuandika habari zenye kuibua changamoto zinazo walenga wanawake katika jamii



Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuandika habari zenye kuibua changamoto zinazo walenga wanawake katika jamii ilikuzitafutia ufumbuzi pamoja na kudai haki zao.
Akiwasilisha mada kwenye mafunzo yauandaaji vipindi na kuwajengea uwezo waandishi wa habari yanayoendelea mkoani Dodoma, Mwezeshaji kutoka Shirika la Kimataifa la Elimu,  SayansinaUtamaduni–UNESCO-BI ROSE MWALIMU amesema kuwa,  bado wanawake nchini hawajape wakipaumbele katika kupaza sautizao jambo ambalo linawafanya kubaki nyuma kimaendeleo.
Bi Rose amesema kuwa ni asilimia 22 tu yaidadi ya wanawake ndio wanaoshirikishwa katika taarifa za habari ikilinganishwa na wanaume ambao ushirikiwao ni mkubwa .

No comments:

Post a Comment