Mazingira Fm Nikituo Cha Radio Kiliopo Wilayani Bunda Mkuoni Mara,
Sunday, 25 February 2018
UVCCM Tarime wafyatua toafali elfu tano, kuunga juhudi za DC
Vijana wa UVCCM Wilaya ya Tarime Mkoani Mara wakiendelea na zoezi zima la kufyatua tofali ili kuunga juhudi za Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious
Luoga kuhakikisha anajenga Nyumba 100 za Jeshi la Polisi na Magereza ili
kuondoa changamoto ya uhaba wa Nyumba za Watumishi hao.
No comments:
Post a Comment