← NYUMBANI
MAZINGIRA FM • BUNDA, MARA

Wasiliana Nasi

Kwa habari, matangazo, udhamini, ushirikiano na mawasiliano ya jumla.

SIMU+255 621 046 491 PIGA SIMU →
BARUA PEPEmazingirafm@gmail.com TUMA BARUA →
ANWANIP.O. Box 51, Saranga/Kabarimu

Bunda, Mara • 31530

MATANGAZO NA UDHAMINI

Fanya kazi na Mazingira FM

Kwa matangazo ya biashara, udhamini wa vipindi, kampeni za jamii na ushirikiano wa mawasiliano, wasiliana nasi kupitia simu au barua pepe.

TUFUATE

Mazingira FM Mitandaoni

Facebook Instagram YouTube X / Twitter
← NYUMBANI
MAZINGIRA FM • 91.7

Kuhusu Mazingira FM

Sauti ya Jamii — redio yenye maudhui ya kijamii kutoka Bunda, Mkoa wa Mara.

Wasifu wa Kituo

Mazingira FM ni kituo cha redio chenye maudhui ya kijamii kilichoanzishwa mwaka 2011. Kituo kinarusha matangazo yake kutoka Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, na kusikika katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara pamoja na Mkoa wa Simiyu na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza kama Magu na Ukerewe.

Kupitia vipindi na matangazo yake, Mazingira FM hutoa habari, elimu, mazingira, afya, michezo na burudani kwa jamii.

MTANDAO WETU

Vituo Vinne vya Matangazo

BUNDAKituo Kikuu
MUSOMAMara
TARIMEMara
MUGUMU–SERENGETIMara
SAUTI YA JAMII

Redio ya Jamii

Mazingira FM inalenga kuipa jamii nafasi ya kupata habari na maarifa, kusikiliza mijadala yenye manufaa, kushiriki katika masuala yanayoigusa na kupata burudani kupitia vipindi vinavyoakisi maisha ya jamii.

← NYUMBANI
MAZINGIRA TV

Video kutoka Mazingira FM

Tazama habari, mahojiano, matukio ya jamii na vipindi vya Mazingira FM.

MAZINGIRA FM • VIDEO

Mazingira TV

Video za habari na shughuli za jamii kutoka Bunda, Mara na maeneo yanayofikiwa na Mazingira FM.

FUNGUA YOUTUBE →
MAZINGIRA FM 91.7
Sauti ya Jamii • Mara, Tanzania
← NYUMBANI
MAZINGIRA FM NEWSROOM

HABARI

Habari na taarifa kutoka Mazingira FM.
Inapakia habari...
← RUDI HABARI MPYA
Inapakia habari...
● LIVEMazingira FM 91.7 MHzSikiliza Sasa — Sauti ya Jamii
HABARI MPYAMazingira FM • Sauti ya Jamii • Habari kutoka Mara

Mazingira FM — Sauti ya Jamii

Mazingira FM ni kituo cha redio chenye maudhui ya kijamii kilichoanzishwa mwaka 2011. Kinarusha matangazo yake kutoka Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, na kusikika katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara, Mkoa wa Simiyu na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza, ikiwemo Magu na Ukerewe. Kupitia vipindi vyake, Mazingira FM hutoa habari, elimu, mazingira, afya, michezo na burudani kwa jamii.

♫ Sikiliza Live

Mazingira FM 91.7 MHz

Bonyeza Play kusikiliza matangazo
Mtandao wetu

Vituo 4 vya Matangazo

BundaMain Site
MusomaTransmission Site
TarimeTransmission Site
MugumuSerengeti
Newsroom

Habari Mpya

Machapisho mapya kutoka Mazingira FM.

HABARI ZA SASA
Inapakia habari mpya kutoka Mazingira FM...
HABARI ZAIDIHabari kutoka kwenye kumbukumbu za Mazingira FM

Sunday, 1 November 2026

Shilingi 50,000 inavyoweza kuwa mwanzo wa mafanikio

Shilingi 50,000 inavyoweza kuwa mwanzo wa mafanikio

Baadhi ya dawa za kuua wadudu kama Mende ,Panya,Kunguni na Viroboto ,Picha na Catherine Msafiri Katika kipindi ambacho vijana wengi wanaka...

Monday, 9 June 2025

Wazee 2 hadi 3 kati ya 10 hufanyiwa ukatili Bunda

Wazee 2 hadi 3 kati ya 10 hufanyiwa ukatili Bunda

  Afisa ustawi wa jamii halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara Waryoba Juma Baadhi ya wazee wameitaka serikali iwatambue wazee kwamba wapo,...

Sunday, 8 June 2025

Auawa na tembo akilinda shamba la Nyanya Bunda

Auawa na tembo akilinda shamba la Nyanya Bunda

  Alikuwa analinda mazao yake yasiliwe na tembo na ndiyo kawaida yetu maana bila kulinda huwezi kuvuna chochote. Na Adelinus Banenwa Kijana ...

Friday, 6 June 2025

Wafugaji kufanya kongamano kubwa June, 15 na 16

Wafugaji kufanya kongamano kubwa June, 15 na 16

  Mwenyekiti wa Chama cha Wafugaji Tanzania, Ndugu Mrida Mshota Watu zaidi ya laki moja wakitalajiwa kuudhulia katika kongamano hilo Na Thom...

Wednesday, 4 June 2025

Vikundi vya ulinzi shirikishi hupunguza uhalifu kwenye jamii

Vikundi vya ulinzi shirikishi hupunguza uhalifu kwenye jamii

  Mkaguzi wa polisi Jonas Kaijage ambaye ni mratibu wa polisi jamii wilayani Bunda Bunda kuna jumla ya vikundi 31 vya ulinzi shirikishi amba...

Thursday, 29 May 2025

Wananchi wahimizwa kutunza na kuwahifadhi kobe

Wananchi wahimizwa kutunza na kuwahifadhi kobe

  Lusato Masinde Afisa wanyamapori kutoka TAWA kanda ya ziwa ,picha na Catherine Msafiri Kobe ni wanyama kama walivyo wanyamapori wengine na...

Friday, 16 May 2025

wanafunzi Migungani Sekondari watembelea Mazingira fm

wanafunzi Migungani Sekondari watembelea Mazingira fm

  Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha nne kutoka Shule ya Sekondari Migungani wakiwa kwenye chumba cha kurushia matangazo radio Mazingira Fm W...

Thursday, 8 May 2025

Aswege: Halmashauri toeni elimu ya mikopo kwa wanawake wajasiriamali

Aswege: Halmashauri toeni elimu ya mikopo kwa wanawake wajasiriamali

  Mkuu wa wilaya ya Bunda  Mhe Aswege Enock Kaminyoge Tangu kuanzishwa kwa jukwaa hili mwaka 2005 limesaidia wanawake wengi katika kuhakikis...

Upatikanaji wa samaki wengi waathiri biashara ya nyama Bunda

Upatikanaji wa samaki wengi waathiri biashara ya nyama Bunda

  Wateja wamepungua kwa kasi katika siku za hivi karibuni kutokana na watu wengi kuelekeza nguvu zao katika kununua samaki Na Thomas Masalu ...

Tuesday, 6 May 2025

Waliolipwa Nyatwali watakiwa kuondoka

Waliolipwa Nyatwali watakiwa kuondoka

  Mkuu wa mkoa wa Mara Kanal Evance Mtambi Serikali tayari imetoa bilioni 53 kwa ajili ya ulipaji wa fidia kwa wakazi hao ili kuachia maeneo...

Friday, 2 May 2025

Amuua mpenzi wake kisha na yeye kujinyonga; Bunda

Amuua mpenzi wake kisha na yeye kujinyonga; Bunda

  Ndege Makebe Karando (31) amuua kwa kumchoma visu aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni muhudumu wa afya katika zahanati ya marambeka Zawadi Joh...

Chagua Unachotaka Kusoma

Mazingira FM Newsroom
HabariHabari za Bunda, Mara, Tanzania na jamii tunayohudumia. MichezoMatokeo, ligi, vipaji na habari za michezo. MazingiraUhifadhi, hali ya mazingira, kilimo na maendeleo. JamiiAfya, elimu, wanawake, vijana na maendeleo ya jamii. KimataifaHabari za dunia na matukio ya kimataifa. SiasaHabari za siasa na uongozi. BurudaniSanaa, muziki na burudani. ElimuHabari zinazohusu elimu. UchumiBiashara, ajira, uchumi na maendeleo ya jamii.
Tufuate

Mazingira FM Mitandaoni

+255 621 046 491 • mazingirafm@gmail.com