← NYUMBANI
MAZINGIRA FM • BUNDA, MARA

Wasiliana Nasi

Kwa habari, matangazo, udhamini, ushirikiano na mawasiliano ya jumla.

SIMU+255 621 046 491 PIGA SIMU →
BARUA PEPEmazingirafm@gmail.com TUMA BARUA →
ANWANIP.O. Box 51, Saranga/Kabarimu

Bunda, Mara • 31530

MATANGAZO NA UDHAMINI

Fanya kazi na Mazingira FM

Kwa matangazo ya biashara, udhamini wa vipindi, kampeni za jamii na ushirikiano wa mawasiliano, wasiliana nasi kupitia simu au barua pepe.

TUFUATE

Mazingira FM Mitandaoni

Facebook Instagram YouTube X / Twitter
← NYUMBANI
MAZINGIRA FM • 91.7

Kuhusu Mazingira FM

Sauti ya Jamii — redio yenye maudhui ya kijamii kutoka Bunda, Mkoa wa Mara.

Wasifu wa Kituo

Mazingira FM ni kituo cha redio chenye maudhui ya kijamii kilichoanzishwa mwaka 2011. Kituo kinarusha matangazo yake kutoka Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, na kusikika katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara pamoja na Mkoa wa Simiyu na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza kama Magu na Ukerewe.

Kupitia vipindi na matangazo yake, Mazingira FM hutoa habari, elimu, mazingira, afya, michezo na burudani kwa jamii.

MTANDAO WETU

Vituo Vinne vya Matangazo

BUNDAKituo Kikuu
MUSOMAMara
TARIMEMara
MUGUMU–SERENGETIMara
SAUTI YA JAMII

Redio ya Jamii

Mazingira FM inalenga kuipa jamii nafasi ya kupata habari na maarifa, kusikiliza mijadala yenye manufaa, kushiriki katika masuala yanayoigusa na kupata burudani kupitia vipindi vinavyoakisi maisha ya jamii.

← NYUMBANI
MAZINGIRA TV

Video kutoka Mazingira FM

Tazama habari, mahojiano, matukio ya jamii na vipindi vya Mazingira FM.

MAZINGIRA FM • VIDEO

Mazingira TV

Video za habari na shughuli za jamii kutoka Bunda, Mara na maeneo yanayofikiwa na Mazingira FM.

FUNGUA YOUTUBE →
MAZINGIRA FM 91.7
Sauti ya Jamii • Mara, Tanzania
← NYUMBANI
MAZINGIRA FM NEWSROOM

HABARI

Habari na taarifa kutoka Mazingira FM.
Inapakia habari...
← RUDI HABARI MPYA
Inapakia habari...
● LIVEMazingira FM 91.7 MHzSikiliza Sasa — Sauti ya Jamii
HABARI MPYAMazingira FM • Sauti ya Jamii • Habari kutoka Mara

Mazingira FM — Sauti ya Jamii

Mazingira FM ni kituo cha redio chenye maudhui ya kijamii kilichoanzishwa mwaka 2011. Kinarusha matangazo yake kutoka Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, na kusikika katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara, Mkoa wa Simiyu na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza, ikiwemo Magu na Ukerewe. Kupitia vipindi vyake, Mazingira FM hutoa habari, elimu, mazingira, afya, michezo na burudani kwa jamii.

♫ Sikiliza Live

Mazingira FM 91.7 MHz

Bonyeza Play kusikiliza matangazo
Mtandao wetu

Vituo 4 vya Matangazo

BundaMain Site
MusomaTransmission Site
TarimeTransmission Site
MugumuSerengeti
Newsroom

Habari Mpya

Machapisho mapya kutoka Mazingira FM.

HABARI ZA SASA
Inapakia habari mpya kutoka Mazingira FM...
HABARI ZAIDIHabari kutoka kwenye kumbukumbu za Mazingira FM
Showing posts with label COMMUNITY. Show all posts
Showing posts with label COMMUNITY. Show all posts

Wednesday, 26 February 2025

  Wazazi Sazira na Sizaki Sec wapewa tano kwa wanafunzi wote kupata chakula shuleni 26 February 2025,  Katika picha akionekana Mhe Robert Ch...

Sunday, 16 February 2025

  Wagonjwa 1,520 wahudumiwa bure katika kambi ya macho Bunda 16 February 2025,  rais wa Chama cha Lions Clubs International, Mahamoud Rajuan...

Friday, 26 January 2018

Hatua za haraka zaanza kuchukuliwa kuondoa adha ya ukosefu wa choo Shule ya Bunda

Hatua za haraka zaanza kuchukuliwa kuondoa adha ya ukosefu wa choo Shule ya Bunda

Wanafunzi,Waalimu pamoja na wakazi wanaofanya shughuli zao katika shule ya Msingi Bunda halmashauri ya mji wa Bunda Mkoani Mara wak...

Thursday, 25 January 2018

Mkurungezi wa mamlaka ya Maji Bunda BUWASA asimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi tuhuma zinazomkabili

Mkurungezi wa mamlaka ya Maji Bunda BUWASA asimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi  tuhuma zinazomkabili

Imeelezwa kuwa Mkurungezi wa Mamlaka ya maji Bunda BUWASA bwana Mansur Mandemula amesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi kufuatia t...

Sunday, 21 January 2018

Mwalimu wa Shule ya Msingi Bigutu adakwa na wananchi baada ya kukutwa akiiba vifaa vya ujenzi shuleni Mjini Bunda

Mwalimu wa Shule ya Msingi Bigutu adakwa na wananchi baada ya kukutwa akiiba vifaa vya ujenzi shuleni  Mjini Bunda

  Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Bigutu katika kata ya Bunda stoo hamashauri ya mji wa Bunda aliyejulikana kwa majina ya Said   MNEMA ...

Tuesday, 9 January 2018

Wananchi Bunda stoo walidhishwa na huduma ya umeme ya REA

Wananchi Bunda stoo walidhishwa na huduma ya umeme ya REA

Wananchi wa kata Bunda stoo katika halmashauri ya mji wa Bunda mkoa wa Mara wameeleza namna wamenufaika na huduma ya umeme wa REA ik...

Chagua Unachotaka Kusoma

Mazingira FM Newsroom
HabariHabari za Bunda, Mara, Tanzania na jamii tunayohudumia. MichezoMatokeo, ligi, vipaji na habari za michezo. MazingiraUhifadhi, hali ya mazingira, kilimo na maendeleo. JamiiAfya, elimu, wanawake, vijana na maendeleo ya jamii. KimataifaHabari za dunia na matukio ya kimataifa. SiasaHabari za siasa na uongozi. BurudaniSanaa, muziki na burudani. ElimuHabari zinazohusu elimu. UchumiBiashara, ajira, uchumi na maendeleo ya jamii.
Tufuate

Mazingira FM Mitandaoni

+255 621 046 491 • mazingirafm@gmail.com