CCM Tarime wasema wapo wasemaji na sio kila mtu Ni msemaji wa chama. - Mazingira FM

Mazingira Fm Live

Breaking News

Saturday 17 February 2018

CCM Tarime wasema wapo wasemaji na sio kila mtu Ni msemaji wa chama.Marema Sollo ambaye ni katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Tarime Mkoani Mara
amesema kuwa Chama cha Mapinduzi
Wilaya ya Tarime kina wasemaji wa chama hicho  siyo kwamba kila Mwanachama ni
msemaji na hawatavumilia suala hilo.

Marema ameyasema hayo wakati akizungumza na wandishi wa habari wilayani hapa.

No comments:

Post a Comment