Wakati Real
Madrid kesho ikitarajiwa kuwakaribisha PSG katika uwanja wake wa Santiago
Bernabéu kwenye hatua hiyo, Neymar amechora tattoo mpya ya mchoro wa kombe la
michuano hiyo kitendo ambacho kimetafsiriwa na baadhi ya mashabiki kuwa
anauhakika kulibeba kombe hilo kwa mwaka huu.
Neymar
alisajiliwa na PSG mwanzoni mwa simu huu akitokea Barcelona kwa kitita cha
paundi milioni 198 ambapo ndio mchezaji anashikilia rekodi ya mchezaji
aliyesajiliwa kwa fedh nyingi zaidi duniani.
No comments:
Post a Comment