
- Idadi ya wanaohama Korea Kaskazini wakienda Korea Kusini yapungua
- Korea Kaskazini yakataa mazungumzo na Korea Kusini
- Dadake rais wa Korea Kaskazini awasili nchini Korea Kusini

AFP/GETTY IMAGESKwa habari, matangazo, udhamini, ushirikiano na mawasiliano ya jumla.
Bunda, Mara • 31530
Kwa matangazo ya biashara, udhamini wa vipindi, kampeni za jamii na ushirikiano wa mawasiliano, wasiliana nasi kupitia simu au barua pepe.
Sauti ya Jamii — redio yenye maudhui ya kijamii kutoka Bunda, Mkoa wa Mara.
Mazingira FM ni kituo cha redio chenye maudhui ya kijamii kilichoanzishwa mwaka 2011. Kituo kinarusha matangazo yake kutoka Bunda, Mkoa wa Mara, na kusikika katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara pamoja na mikoa jirani, ikiwemo Simiyu na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza kama Magu na Ukerewe.
Kupitia vipindi na matangazo yake, Mazingira FM hutoa habari, elimu, mazingira, afya, michezo na burudani kwa jamii.
Mazingira FM inalenga kuipa jamii nafasi ya kupata habari na maarifa, kusikiliza mijadala yenye manufaa, kushiriki katika masuala yanayoigusa na kupata burudani kupitia vipindi vinavyoakisi maisha ya jamii.
Tazama habari, mahojiano, matukio ya jamii na vipindi vya Mazingira FM.
Video za habari na shughuli za jamii kutoka Bunda, Mara na maeneo yanayofikiwa na Mazingira FM.
FUNGUA YOUTUBE →Mazingira FM ni kituo cha redio chenye maudhui ya kijamii kilichoanzishwa mwaka 2011. Kituo kinarusha matangazo yake kutoka Bunda, Mkoa wa Mara, na kusikika katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara pamoja na mikoa jirani, Simiyu na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza kama Magu na Ukerewe. Kupitia vipindi na matangazo yake, Mazingira FM hutoa habari, elimu, mazingira, afya, michezo na burudani kwa jamii.
Machapisho mapya kutoka Mazingira FM.
+255 621 046 491 • mazingirafm@gmail.com
No comments:
Post a Comment