Waandishi wa
habari wa redio jamii Tanzania wakiendelea na mafunzo ya kuwajengea uwezo
katika uandaaji wa vipindi bora na uhariri wa habari za jamii.
Ikiwa leo ni siku ya tano ya mafunzo hayo yaliyoanza Jumanne
6 Februari hadi 13 2018 mjini Dodoma yakiwezesha na Shirika la Umoja wa Mataifa
la Elimu,Sayansi,na Utamaduni ( UNESCO) yanayojumuisha mambo mbalimbali
na leo yamejikita kwenye mada ya uandishi wa habari redioni , Jinsia na Jinsi.
Pia
wamepata nafasi ya kujadili ushiriki wa wanawake kwenye habari za michezo,na
kubainisha kuwa ni mdogo.
No comments:
Post a Comment