Kembaki atoa Matofali Elfu tatu na Mifuko 30 ya Saruji ujenzi wa vyumba -Tarime - Mazingira FM

Mazingira Fm Live

Breaking News

Saturday 17 February 2018

Kembaki atoa Matofali Elfu tatu na Mifuko 30 ya Saruji ujenzi wa vyumba -Tarime

Michael Kembaki aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Tarime Mjini CCM akikabidhi
 fedha kwa Mwenyekiti wa mtaa wa kirumi kwa ajili ya ununuzi wa Matofali
Elfu tatu ili wananchi wa Mtaa huo waendelee na ujenzi wa Chumba kimoja
cha darasa katika Shule ya Msingi Nyamwino iliyopo Halmashauri ya Mji
wa Tarime Mkoani Mara.Pia
kembaki ametoa Mifuko ya Saruji 30 kwa ajili ya kutimiza ahadi yake
aliyotoa kipindi cha kampeni Mwaka 2015 ili wananchi wa mtaa wa Romori
waweze kujenga nao chumba kimoja cha darasa kama ilivyopangwa kuwa kila
mtaa kati ya Mitaa mitatu wajenge chumba kimoja kimoja cha darasa.


Michael

Kembaki aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Tarime Mjini CCM akiongea na
wananchi wa mtaa wa Kirumi kata ya Nkende katika shule ya Msingi
Nyamwino.Mathias
Lugola katibu Msaidizi CCM Tarime akiongea na wananchi wa mtaa wa
kirumi kata ya Nkende Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara.                          Shule ya Msingi Nyamwino

                                          Nguvu za Wananchi.

No comments:

Post a Comment