Makonda awatumbua wakuu wa Idara za Ardhi - Mazingira FM

Mazingira Fm Live

Breaking News

Saturday, 10 February 2018

Makonda awatumbua wakuu wa Idara za Ardhi


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul makonda amewasimamisha kazi wakuu wa Idara za Ardhi, wa Wilaya ya Ilala, Ubungo na Kinondoni kwa utendaji kazi mbovu.
Makonda amechukua uamuzi huo leo Februari 10, 2018 katika ukumbi wa Diamond Jubilee wakati akipokea mrejesho kutoka kwa wanansheria waliojitolea kuwasikiliza wananchi wenye migogoro ya ardhi.
Wakuu hao wa idara wametoa idadi ndogo ya migogoro waliyopokea kutoka kwa wananchi tofauti na uhalisia ulivyo



No comments:

Post a Comment