← NYUMBANI
MAZINGIRA FM • BUNDA, MARA

Wasiliana Nasi

Kwa habari, matangazo, udhamini, ushirikiano na mawasiliano ya jumla.

SIMU+255 621 046 491 PIGA SIMU →
BARUA PEPEmazingirafm@gmail.com TUMA BARUA →
ANWANIP.O. Box 51, Saranga/Kabarimu

Bunda, Mara • 31530

MATANGAZO NA UDHAMINI

Fanya kazi na Mazingira FM

Kwa matangazo ya biashara, udhamini wa vipindi, kampeni za jamii na ushirikiano wa mawasiliano, wasiliana nasi kupitia simu au barua pepe.

TUFUATE

Mazingira FM Mitandaoni

Facebook Instagram YouTube X / Twitter
← NYUMBANI
MAZINGIRA FM • 91.7

Kuhusu Mazingira FM

Sauti ya Jamii — redio yenye maudhui ya kijamii kutoka Bunda, Mkoa wa Mara.

Wasifu wa Kituo

Mazingira FM ni kituo cha redio chenye maudhui ya kijamii kilichoanzishwa mwaka 2011. Kituo kinarusha matangazo yake kutoka Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, na kusikika katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara pamoja na Mkoa wa Simiyu na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza kama Magu na Ukerewe.

Kupitia vipindi na matangazo yake, Mazingira FM hutoa habari, elimu, mazingira, afya, michezo na burudani kwa jamii.

MTANDAO WETU

Vituo Vinne vya Matangazo

BUNDAKituo Kikuu
MUSOMAMara
TARIMEMara
MUGUMU–SERENGETIMara
SAUTI YA JAMII

Redio ya Jamii

Mazingira FM inalenga kuipa jamii nafasi ya kupata habari na maarifa, kusikiliza mijadala yenye manufaa, kushiriki katika masuala yanayoigusa na kupata burudani kupitia vipindi vinavyoakisi maisha ya jamii.

← NYUMBANI
MAZINGIRA TV

Video kutoka Mazingira FM

Tazama habari, mahojiano, matukio ya jamii na vipindi vya Mazingira FM.

MAZINGIRA FM • VIDEO

Mazingira TV

Video za habari na shughuli za jamii kutoka Bunda, Mara na maeneo yanayofikiwa na Mazingira FM.

FUNGUA YOUTUBE →
MAZINGIRA FM 91.7
Sauti ya Jamii • Mara, Tanzania
← NYUMBANI
MAZINGIRA FM NEWSROOM

HABARI

Habari na taarifa kutoka Mazingira FM.
Inapakia habari...
← RUDI HABARI MPYA
Inapakia habari...
● LIVEMazingira FM 91.7 MHzSikiliza Sasa — Sauti ya Jamii
HABARI MPYAMazingira FM • Sauti ya Jamii • Habari kutoka Mara

Mazingira FM — Sauti ya Jamii

Mazingira FM ni kituo cha redio chenye maudhui ya kijamii kilichoanzishwa mwaka 2011. Kinarusha matangazo yake kutoka Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, na kusikika katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara, Mkoa wa Simiyu na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza, ikiwemo Magu na Ukerewe. Kupitia vipindi vyake, Mazingira FM hutoa habari, elimu, mazingira, afya, michezo na burudani kwa jamii.

♫ Sikiliza Live

Mazingira FM 91.7 MHz

Bonyeza Play kusikiliza matangazo
Mtandao wetu

Vituo 4 vya Matangazo

BundaMain Site
MusomaTransmission Site
TarimeTransmission Site
MugumuSerengeti
Newsroom

Habari Mpya

Machapisho mapya kutoka Mazingira FM.

HABARI ZA SASA
Inapakia habari mpya kutoka Mazingira FM...
HABARI ZAIDIHabari kutoka kwenye kumbukumbu za Mazingira FM

Thursday, 15 March 2018

Wavuvi waukuta Mwili wa mmiliki wa Mabasi ya Super Sami Mtoni-Bunda Mara





Mwili wa marehemu ukielea mtoni huku ukiwa kwenye viroba.
MWILI wa mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah,  unadaiwa umekutwa na wavuvi mto Ndabaka eneo la Bunda – Lamadi akiwa amefariki dunia jana Jumatano, Machi 14,2018 jioni huku watu wa karibu na marehemu wakithibitisha kuwa mwili huo ni wake.

Machi 9, 2018 taarifa za kupotea kwa Josiah kwa zaidi ya wiki mbili zilianza kusambaa baada ya gari lake alilokuwa akitumia aina ya Toyota Land Cruiser kukutwa limechomwa moto katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti iliyoko mkoani Mara huku  akiwa hajulikani alipo.
                                     


 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Jafary Mohammed, amethibitisha kupokea taarifa hizo.

“Hata mimi nimesikia tu taarifa za kuokotwa kwa mwili wa Samson Josiah, sasa hivi ndiyo ninaelekea eneo la tukio ili kufahamu kilichojiri, kama ni yeye aliyeokotwa au ni mwingine. Lakini taarifa za kupotea kwake zilitufikia na tulizitoa kwa umma siku chache zilizopita, hivyo tuwe na subira, tutawaeleza baada ya kupata taarifa kamili,” alisema RPC


                       Gari lake likiwa limeteketea kwa moto.
Kwa mujibu wa familia ya Josiah, ambayo inaishi mkoani Mwanza, ilidai kuwa siku ya kupotea kwa kwake ambayo ni Februari 27, majira ya usiku, alimpigia simu mkewe na kumwambia kuwa atarudi nyumbani na mgeni, na hayo yakawa mawasiliano yao ya mwisho.

Mabasi ya Super Sami yanafanya safari zake kuanzia mkoa wa Mwanza, kwenda mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Iringa na Kagera.



No comments:

Post a Comment

Chagua Unachotaka Kusoma

Mazingira FM Newsroom
HabariHabari za Bunda, Mara, Tanzania na jamii tunayohudumia. MichezoMatokeo, ligi, vipaji na habari za michezo. MazingiraUhifadhi, hali ya mazingira, kilimo na maendeleo. JamiiAfya, elimu, wanawake, vijana na maendeleo ya jamii. KimataifaHabari za dunia na matukio ya kimataifa. SiasaHabari za siasa na uongozi. BurudaniSanaa, muziki na burudani. ElimuHabari zinazohusu elimu. UchumiBiashara, ajira, uchumi na maendeleo ya jamii.
Tufuate

Mazingira FM Mitandaoni

+255 621 046 491 • mazingirafm@gmail.com