Wakuu wa Mikoa 10 Ukanda wa Magharibi na kamati za Ulinzi na Usalama wakutana Mjini Tarime - Mazingira FM

Mazingira Fm Live

Breaking News

Monday 5 March 2018

Wakuu wa Mikoa 10 Ukanda wa Magharibi na kamati za Ulinzi na Usalama wakutana Mjini Tarime


Wakuuwa Mikoa 10 Ukanda wa Magharibi wakiwa katika picha ya Pamoja ambapo  wamekutana hii leo Wilayani Tarime Mkoani Mara kwa lengo la kujadili  suala zima la Ulinzi na Usalama, Ujirani Mwema ,Masuala ya Uchumi na
Viwanda, Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Mama na Mtoto pamoja na Mada
nyingine.
                       
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ambaye ni Mwenyekiti wa kikao hicho  akifungua kikao rasmi ameitaja Mikoa inayoshiriki kuwa ni , Mwanza, Mara
Singida, Shinyanga, Tabora,Kagera,Kigoma,Katavi, Simiyu na Geita.Mkuuwa Mkoa wa Mara Adam Malima ambaye ni Mwenyeji katika kikao hicho pia Makamu Mwenyekiti akiwasilisha Mada zitakazojadiliwa katika Kikao hicho.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Zainab Telack akiongea na Waandishi wa habari.
 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella akiongea na Waandishi wa habari.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akiongea na Waandishi wa Habari. 
No comments:

Post a Comment