KLABU ya
Simba imejifua kwa mara ya mwisho katika uwanja wa Boko Veteran, wakijiandaa na
mechi ya marudiano dhidi ya Al Masry, mchezo utakaopigwa nchini Misri.
Simba
wanaenda katika mchezo huo huku wakiwa na kumbukumbu ya kutoka sare ya 2-2
kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Daresalaam
No comments:
Post a Comment