Kufuatia sakata la Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar
es salaam Abdul Nonda ambae pia kiongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania TSNP
la kudaiwa kutekwa, leo Machi 17 Jebra Kambole ambae ni Wakili wa Mwanafunzi
huyo amefunguka na kudai kuwa mpasa sasa hajaonana nae ili kujua kinachoendelea
juu yake.
Saturday 17 March 2018
Wakili wa Abdul Nondo Afunguka Mazito
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment