Katibu Tawala Wilaya ya Tarime John Marwa amewataka watumishi wa Umma
Kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria za utumishi wa Umma na kufanya kazi
bila ubaguzi wa Vyama, ikiwa nipamoja na kuondokana na suala zima la
Rushwa, ni katika Kikao cha baraza la Wafanyakazi Tarime Vijijini kwa
ajili ya kujadili Rasmi ya Mpango wa Bajeji mwaka wa Fedha 2018-2019.
Wednesday, 7 March 2018

John Marwa katibu Tawala Tarime,Watumishi wa Umma fanyeni kazi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment