'Nabii anaegawa hela Shillah' azungumza Kanisa kufutiwa usajili.
Nabii
Daniely Shillah anaegawa hela kanisani kwake amezungumzia kuhusu Kanisa lake kufutiwa
usajili.
Hivi
karibuni Nabii Shillah alishika kasi kwenye mitandao ya kijamii ikijinadi kuwa
yeye kanisa lake halipo kwa maslahi binafsi.
No comments:
Post a Comment