← NYUMBANI
MAZINGIRA FM • BUNDA, MARA

Wasiliana Nasi

Kwa habari, matangazo, udhamini, ushirikiano na mawasiliano ya jumla.

SIMU+255 621 046 491 PIGA SIMU →
BARUA PEPEmazingirafm@gmail.com TUMA BARUA →
ANWANIP.O. Box 51, Saranga/Kabarimu

Bunda, Mara • 31530

MATANGAZO NA UDHAMINI

Fanya kazi na Mazingira FM

Kwa matangazo ya biashara, udhamini wa vipindi, kampeni za jamii na ushirikiano wa mawasiliano, wasiliana nasi kupitia simu au barua pepe.

TUFUATE

Mazingira FM Mitandaoni

Facebook Instagram YouTube X / Twitter
← NYUMBANI
MAZINGIRA FM • 91.7

Kuhusu Mazingira FM

Sauti ya Jamii — redio yenye maudhui ya kijamii kutoka Bunda, Mkoa wa Mara.

Wasifu wa Kituo

Mazingira FM ni kituo cha redio chenye maudhui ya kijamii kilichoanzishwa mwaka 2011. Kituo kinarusha matangazo yake kutoka Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, na kusikika katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara pamoja na Mkoa wa Simiyu na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza kama Magu na Ukerewe.

Kupitia vipindi na matangazo yake, Mazingira FM hutoa habari, elimu, mazingira, afya, michezo na burudani kwa jamii.

MTANDAO WETU

Vituo Vinne vya Matangazo

BUNDAKituo Kikuu
MUSOMAMara
TARIMEMara
MUGUMU–SERENGETIMara
SAUTI YA JAMII

Redio ya Jamii

Mazingira FM inalenga kuipa jamii nafasi ya kupata habari na maarifa, kusikiliza mijadala yenye manufaa, kushiriki katika masuala yanayoigusa na kupata burudani kupitia vipindi vinavyoakisi maisha ya jamii.

← NYUMBANI
MAZINGIRA TV

Video kutoka Mazingira FM

Tazama habari, mahojiano, matukio ya jamii na vipindi vya Mazingira FM.

MAZINGIRA FM • VIDEO

Mazingira TV

Video za habari na shughuli za jamii kutoka Bunda, Mara na maeneo yanayofikiwa na Mazingira FM.

FUNGUA YOUTUBE →
MAZINGIRA FM 91.7
Sauti ya Jamii • Mara, Tanzania
← NYUMBANI
MAZINGIRA FM NEWSROOM

HABARI

Habari na taarifa kutoka Mazingira FM.
Inapakia habari...
← RUDI HABARI MPYA
Inapakia habari...
● LIVEMazingira FM 91.7 MHzSikiliza Sasa — Sauti ya Jamii
HABARI MPYAMazingira FM • Sauti ya Jamii • Habari kutoka Mara

Mazingira FM — Sauti ya Jamii

Mazingira FM ni kituo cha redio chenye maudhui ya kijamii kilichoanzishwa mwaka 2011. Kinarusha matangazo yake kutoka Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, na kusikika katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara, Mkoa wa Simiyu na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza, ikiwemo Magu na Ukerewe. Kupitia vipindi vyake, Mazingira FM hutoa habari, elimu, mazingira, afya, michezo na burudani kwa jamii.

♫ Sikiliza Live

Mazingira FM 91.7 MHz

Bonyeza Play kusikiliza matangazo
Mtandao wetu

Vituo 4 vya Matangazo

BundaMain Site
MusomaTransmission Site
TarimeTransmission Site
MugumuSerengeti
Newsroom

Habari Mpya

Machapisho mapya kutoka Mazingira FM.

HABARI ZA SASA
Inapakia habari mpya kutoka Mazingira FM...
HABARI ZAIDIHabari kutoka kwenye kumbukumbu za Mazingira FM

Wednesday, 21 June 2023

CHADEMA, ugumu wa maisha kwa vijana chanzo cha kucheza kamali na kubeti.

 

Yohana kaunya

Chama cha Demokrasia na maendeleo  CHADEMA kimefanya mkutano katika kata ya bunda stoo halmashauri ya mji wa bunda huku wakigusia mambo mbalimbali likiwemo ukosefu wa ajira kwa vijana  na ugumu wa maisha.

Katika mkutano huo ulioudhuriwa na viongozi mbalimbali kuanzia ngazi ya kata hadi taifa akiwemo mwenyekiti wa Baraza la vijana Chadema Taifa John Pambalu, katibu mkuu wa Vijana Taifa Yohana kaunya  miongoni mwa viongozi wengine

Akizungumza katika mkutano huo Yohana Kaunya ambaye alikuwa mgombea udiwani kata ya Bunda stoo katika uchaguzi mkuu 2020 na katibu mkuu CHADEMA Taifa amesema amekuja kuwashukuru wakazi wa kata ya Bunda stoo kwa kura walizompa pia amesema ukosefu wa ajira bado ni changamoto ili hali vijana wasomi wapo.

Aidha katibu huyo wa vijana amesema amekuwa akipokea malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa kata ya Bunda stoo kuhusu mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na bili ya maji kuwa juu, ubovu wa miundombinu ya barabara, changamoto ya watu TASAF miongoni mwa changamoto zingine.

Yohana kaunya
John Pambalu

Naye mwenyekiti wa BAVICHA  John Pambalu amesema kuwa tatizo la ugumu wa maisha bado ni kubwa sana katika taifa pia ukosefu wa ajira kwa vijana kunasababisha vijana wengi kushindwa kufanya kazi badala yake wanakwenda kwenye michezo ya kubahatisha

Aidha amesema baraza la vijana chadema litaadhimisha siku ya vijana duniani mkoani mbeya ambayo hufanyika kila mwaka tarehe  12 August   ambapo amewataka vijana kukutana ili kujua mustakabali wao.

John Pambalu

No comments:

Post a Comment

Chagua Unachotaka Kusoma

Mazingira FM Newsroom
HabariHabari za Bunda, Mara, Tanzania na jamii tunayohudumia. MichezoMatokeo, ligi, vipaji na habari za michezo. MazingiraUhifadhi, hali ya mazingira, kilimo na maendeleo. JamiiAfya, elimu, wanawake, vijana na maendeleo ya jamii. KimataifaHabari za dunia na matukio ya kimataifa. SiasaHabari za siasa na uongozi. BurudaniSanaa, muziki na burudani. ElimuHabari zinazohusu elimu. UchumiBiashara, ajira, uchumi na maendeleo ya jamii.
Tufuate

Mazingira FM Mitandaoni

+255 621 046 491 • mazingirafm@gmail.com