ACT WAZALENDO ITATOA MSIMAMO WAKE LEO KUHUSU SAKATA LA MKATABA WA BANDARI - Mazingira FM

Mazingira Fm Live

Breaking News

Thursday 8 June 2023

ACT WAZALENDO ITATOA MSIMAMO WAKE LEO KUHUSU SAKATA LA MKATABA WA BANDARI

Zitto Kabwe katika studio za Radio Mazingira FM


Chama Cha ACT Wazalendo leo tarehe 8 June 2023 kitatoa msimamo wake kuhusu Sakata la Mkataba wa Bandari kupitia Mkutano wake wa hadhara katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mkendo Mjini Musoma Mkoani Mara.

Akizungumza na Radio Mazingira Fm katika Kipindi Maalumu, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe amesema suala la mkataba wa Bandari limekuwa likijadiliwa katika hisia tofauti hivyo leo kupitia mkutano wao wa hadhara wataweka bayana nini msimamo wao.

 

No comments:

Post a Comment