← NYUMBANI
MAZINGIRA FM • BUNDA, MARA

Wasiliana Nasi

Kwa habari, matangazo, udhamini, ushirikiano na mawasiliano ya jumla.

SIMU+255 621 046 491 PIGA SIMU →
BARUA PEPEmazingirafm@gmail.com TUMA BARUA →
ANWANIP.O. Box 51, Saranga/Kabarimu

Bunda, Mara • 31530

MATANGAZO NA UDHAMINI

Fanya kazi na Mazingira FM

Kwa matangazo ya biashara, udhamini wa vipindi, kampeni za jamii na ushirikiano wa mawasiliano, wasiliana nasi kupitia simu au barua pepe.

TUFUATE

Mazingira FM Mitandaoni

Facebook Instagram YouTube X / Twitter
← NYUMBANI
MAZINGIRA FM • 91.7

Kuhusu Mazingira FM

Sauti ya Jamii — redio yenye maudhui ya kijamii kutoka Bunda, Mkoa wa Mara.

Wasifu wa Kituo

Mazingira FM ni kituo cha redio chenye maudhui ya kijamii kilichoanzishwa mwaka 2011. Kituo kinarusha matangazo yake kutoka Bunda, Mkoa wa Mara, na kusikika katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara pamoja na mikoa jirani, ikiwemo Simiyu na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza kama Magu na Ukerewe.

Kupitia vipindi na matangazo yake, Mazingira FM hutoa habari, elimu, mazingira, afya, michezo na burudani kwa jamii.

MTANDAO WETU

Vituo Vinne vya Matangazo

BUNDAKituo Kikuu
MUSOMAMara
TARIMEMara
MUGUMU–SERENGETIMara
SAUTI YA JAMII

Redio ya Jamii

Mazingira FM inalenga kuipa jamii nafasi ya kupata habari na maarifa, kusikiliza mijadala yenye manufaa, kushiriki katika masuala yanayoigusa na kupata burudani kupitia vipindi vinavyoakisi maisha ya jamii.

← NYUMBANI
MAZINGIRA TV

Video kutoka Mazingira FM

Tazama habari, mahojiano, matukio ya jamii na vipindi vya Mazingira FM.

MAZINGIRA FM • VIDEO

Mazingira TV

Video za habari na shughuli za jamii kutoka Bunda, Mara na maeneo yanayofikiwa na Mazingira FM.

FUNGUA YOUTUBE →
MAZINGIRA FM 91.7
Sauti ya Jamii • Mara, Tanzania
← NYUMBANI
MAZINGIRA FM NEWSROOM

HABARI

Habari na taarifa kutoka Mazingira FM.
Inapakia habari...
▶ SIKILIZA LIVE
← RUDI HABARI MPYA
Inapakia habari...
MAZINGIRA FM • Sauti ya Jamii • Mara, Tanzania
HABARI MPYAMazingira FM • Sauti ya Jamii • Habari kutoka Mara
MAZINGIRA FM • MARA

Mazingira FM.
Sauti ya Jamii.

Mazingira FM ni kituo cha redio chenye maudhui ya kijamii kilichoanzishwa mwaka 2011. Kituo kinarusha matangazo yake kutoka Bunda, Mkoa wa Mara, na kusikika katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara pamoja na mikoa jirani, ikiwemo Simiyu na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza kama Magu na Ukerewe. Kupitia vipindi na matangazo yake, Mazingira FM hutoa habari, elimu, mazingira, afya, michezo na burudani kwa jamii.

SOMA HABARI
Mtandao wetu

Vituo 4 vya Matangazo

BundaMain Site
MusomaTransmission Site
TarimeTransmission Site
MugumuSerengeti
Newsroom

Habari Mpya

Machapisho mapya kutoka Mazingira FM.

Inapakia habari mpya kutoka Radio TADIO...
HABARI ZAIDIHabari kutoka kwenye kumbukumbu za Mazingira FM

Sunday, 2 July 2023

AMCOS baadhi halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara viko kwenye hati hati ya kuuzwa mali zao.

Jacob Sospeter Maiga

Baadhi ya Vyama vya Ushirika AMCOS halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara viko kwenye hati hati ya kuuzwa mali zao ikiwa ni pamoja na maghala au stoo kutokana na mikopo ya Matrekta kutoka Banki ya Maendeleo ya Kilimo.

Haya yamebainishwa kupitia mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya Bunda na waandishi wa Habari katika ofisi za Chama hicho kuelezea namna ambavyo jambo hilo limeibua taharuki miongoni mwa wakulima na kuiomba serikali kuingilia kati ili kunusuru mali za AMCOS hizo.

Akizungumzia suala hilo Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Bunda, Jacob Sospeter Maiga amesema miongoni mwa AMCOS zilizo katika hati hati ya kuuzwa mali zao ni pamoja na AMCOS ya Kunzugu na Balili.

Jacob Sospeter Maiga

Sambamba na hayo, Maiga amebaini vituo ambavyo vinakumbwa na Sakata hilo

Jacob Sospeter Maiga

Kufuatia taarifa hizi Mazingira Fm imefika katika Ofisi za AMCOS kunzugu na Balili ili kupata uthibitisho wa taarifa hizi na hapa viongozi hao wanabinisha kile kinachoendelea juu ya taarifa hizo

Nyang’era Lukiko

Akifafanua zaidi maswali ya waandishi wa habari wa Radio Mazingira Fm, Nyang’era Lukiko amesema

Nyang’era Lukiko

Kwa upande wake Katibu wa AMCOS Balili, Samweli Chacha amesema

Samweli Chacha

Kufuatia taarifa hizi, Mazingira Fm imefanya Juhudi za kumtafuta Afisa Ushirika Halmashauri ya Mji wa Bunda ili kupata ufafanuzi zaidi juu ya taarifa hizi lakini alieleza kuwa yuko mkoani kikazi na hivyo waandishi wetu wanaweza kumtembelea ofisini kwake siku ya jumatatu juu ya taarifa hizo.

Aidha Juhudi za kuwapata uongozi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania kwa ufafanuzi wa taarifa hizi kwa kutumia simu yao hazijaweza kuzaa matunda hivyo mazingira fm inaendelea na juhudi za kuwapata viongozi hao kwa ufafanuzi zaidi.

No comments:

Post a Comment

Chagua Unachotaka Kusoma

Mazingira FM Newsroom
HabariHabari za Bunda, Mara, Tanzania na jamii tunayohudumia. MichezoMatokeo, ligi, vipaji na habari za michezo. MazingiraUhifadhi, hali ya mazingira, kilimo na maendeleo. JamiiAfya, elimu, wanawake, vijana na maendeleo ya jamii.
Tufuate

Mazingira FM Mitandaoni

+255 621 046 491 • mazingirafm@gmail.com